CHEKI JIMAMA LILIVYOPAGAWA NA SHOW YA ISHA MASHAUZI MWANZA
Mashabiki wakaminika jukwaani kwenda kumtunza Isha sambamba na kunengua nae kwa dakika kadhaa na kisha kupisha wengine wapande. Ilibidi mabaunsa wawapandishe mashabiki hao kwa zamu kutokana.
Miongoni mwa waliopagawa sana na Isha Mashauzi kwenye onyesho lake hilo la pamoja na Mzee Yussuf, ni huyu mwanamamna pichani mwenye umbo la kibantu, aliyejazia ‘neema za Allah’.
Mdada huyu alipanda jukwaani akacheza na Isha huku akimtunza ‘nyekundu nyekundu’ tupu, kwa hesabu za haraka haraka alitoa zaidi ya shilingi laki mbili katika muda huo mfupi aliopanda jukwaani.

Mwanamama akizichomoa pesa

Pesa zinamiminika mkononi mwa Isha

Ananengua kidogo

Mwanamama bado hajamaliza

Kazi inaendelea

Pesa zinachomolewa tena

Post Comment
No comments