Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ajumuika na Wananchi wa Zanzibar Katika Kisomo cha Kumuombea Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed  Shein (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM  Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee  Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April  baada ya kifochake,(kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim  Majaliwa,
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed  Shein (kushoto) akisalimiana na  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania  Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipowasili katika ukumbi  wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu  Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7  April baada ya kifochake
 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed  Shein (kushoto) akisalimiana na  Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis  Haji  wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja  leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo  hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake













No comments