Breaking News

MASKINI RAY C ALIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUNYIMWA TIBA YA METHADONE (VIDEO)

Rehema Chalamila aka Ray C amejikuta akishindwa kujizuia kulia baada ya kunyimwa dawa ya Methadone ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka miwili sasa ili kumsaidia kuondokana na addiction ya madawa ya kulevya.
HAPA>>>>>>>>

No comments