Breaking News

MSAMI: NIPO TAYARI KUZAA NA IRENE UWOYA>>SOMA HAPA!!!

IRINE3
Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya hapa Tzee marufu kwa jina la Msami ambaye anafanya vizuri na ngoma zake, ikiwa ni pamoja na ‘Sound Track’ . Though kwamba leo ametambulisha wimbo wake mpya unaoitwa Yalayala’ East Africa Radio.
Kuhusiana na mpenzi wake Irene Uwoya Msami amesema kuwa “nipo tayari kuzaa mtoto natamani sikumoja iwe hivyo”

No comments