MUONE MSHAMBULIAJI WA MAN CITY, WILFRIED BONY AKIKATA MAUNO NA WIMBO WA DIAMOND ‘NASEMA NAWE
Diamond Platnumz ameongeza shabiki mpya. Ni mshambuliaji wa Manchester City, raia wa Ivory Coast, Wilfried Guemiand Bony.
Mchezaji huyo amepost video kwenye akaunti yake ya Instagram akionesha kipaji chake kingine cha kukata viuno kutumia wimbo wa Diamond, Nasema Nawe.
Video hiyo pia imewekwa kwenye akaunti ya Facebook Football Daily na kuvutia comments kibao.
“Thanks alot my Brother @W.bony from Manchester City /@Mcfcofficial for your Love and Support,” ameandika Diamond.
No comments