Breaking News

PICHA HII YA WASTARA NA UJUMBE HUU MURUA NI GUMZO HUKO MTANDAONI!

Kupitia ukurasa wake kwenye mtanndao picha wa Instagram, muigizaji, mtangazaji na meneja wa Wastara Juma, Bond Bin Sinnan Aliweka picha hiyo hapo juu ya wastara na kuandika ujumbe huu;
Katika dunia hii hakuna jambo gumu na ghali sana kulipata kama furaha, maana binaadamu tumejaa chuki, fitina, roho mbaya na pia wivu.
Yatupasa kuomba usiku na mchana mungu atujaalie kuwa karibu na watu wa kutupa furaha
Na ukiipata furaha itunze kama pumzi unayovuta kwani hujui ni saa ngapi mungu ataichukua. @wastara84

Nadhani ujumbe umeeleweka.

Mzee wa Ubuyu

No comments