Waziri: Waganda ngono kwanza chakula baadae>>
Waziri wa maadili nchini Uganda Simon Lokodo amedai kuwa ongezeko la  maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi yanazidi kuongezeka zaidi kutokana na  waganda wengi kufanya ngono mchana badala ya kula chakula cha mchana. 
Pia waziri huyo aliendelea kwa kusema kuwa inabidi wapenzi waaminiane  zaidi na kuelekeza macho yao kwenye kupunguza ngono zembe,na kuiambia  kamisheni ya kuzuia maambukizi ya Ukimwi kuelekeza nguvu zao kwenye  vyombo ovya habari ili kuwakumbusha wananchi waliosahau.
Kwa sasa nchini Uganda, kuna zaidi ya watumiaji wa dawa za kuongeza  maisha 600,000 huku asilimia 90 ya dawa hizo zinafadhiliwa na mataifa ya  nje.

No comments