Breaking News

KYLIE AZIDI KUWATESA WANAWAKE WENZAKE WAIGA LIPS ZAKE ONA HUYU ALIVYOFANYA MDOMO WAKE"

Anaitwa Jackline anaishi pande za south ameshangaza watu baada ya kuingia katika ule mkumbo wa kuiga kuwa na lips
kama za mrembo Kylie ambaye kwa sasa ni mpenzi wa rapper kutoka kundi la cash money Tyga kutokana na kuwa na lips fulani amazing ambazo mashabiki zake wanao taka kufanana nae wameamua kutafuta njia mbadala ya kuendana na the super star huyo kwa kuongeza ukubwa wa midomo yao na wengine kufikia kushindwa hata kuifunga kabisha .

No comments