Breaking News

Mwakilishi wa wadi ya Nakuru Mashariki James Humphrey Mwaniki anadaiwa kupewa kichapo cha mbwa aliyekojoa msikitini na polisi wa kukabiliana na ghasia wakati wa msako unaoendelezwa dhidi ya pombe hatari.



Jarida's photo.
Mwaniki alijipata pabaya pale alipoongoza vijana wengine kuvamia na kupora duka la kuuza mvinyo linalomilikiwa na afisa mmoja wa trafiki mjini Nakuru.
Inasemekana MCA huyu aliwazuia polisi kuwatia mbaroni vijana waliopatikana wakipora duka hilo na kupelekea kucharazwa kwake.

No comments