Breaking News

Update Mpya Toka Dodoma.......Wapambe wa Lowassa Bado Wamekinukisha, Dr. Shein Kapitishwa Kugombea Urais Zanzibar na Mkutano mkuu ni saa 3 Usiku



Kazi ya upigaji kura inaendelea hivi sasa katika mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC), ambapo majina matatu yatapatikana na kupelekwa katika mkutano mkuu utakaoanza majira ya saa 3:00 usiku.
Aidha, mkutano  huo  umempitisha  mh. Ali Mohamed Shein  kuwa  Mgombea  wa  Urais  kwa  upande  wa  Zanzibari.

No comments