Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.
Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao
AMAZING:WAFUNGA NDOA NDANI YA JENEZA
Reviewed by jungukuuleo
on
10:43:00 PM
Rating: 5
No comments