Breaking News

Jenerali Ulimwengu amepata ajali asubuhi mapema leo


CqxXkThWcAQOn-Z.jpg

Mwanahabari, Mwandishi na Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema Jenerali Ulimwengu amepata ajali asubuhi mapema leo. Yupo hospitali Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu.

No comments