Baraza Kuu la CUF limepitisha majina 3 yatakayopigiwa kura kujaza nafasi ya Uenyekiti, iliyoachwa wazi na Prof. Lipumba mwaka jana.Majina hayo ni Twaha Taslima, Riziki Shahari Mngwali na Juma Nkumbi.
No comments