Breaking News

BASI LA CITY BOYS LAGONGANA NA LORI IGUNGA..KUNA TAARIFA YA VIFO



Habari tulizozipata hivi punde zinasema kuwa  basi la abiria la City Boys kugongana na fuso katika eneo la Igunga, Tabora.


Inaelezwa kuwa watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia.
Tutawajurisha kwa habari zaidi!!.....

No comments