Breaking News

KIBAKA ANUSURIKA KUUWAWA DODOMA MJINI BAADA YA JARIBIO LA KUTAKA KUIBA BASKELI

Polisi wakijaribu kumnusuru kijana huyu.....
Dakika Mbili za kipigo kwake zilikuwa ni ngumu sana, Ni muda mchache lkn maumivu yake ni zaidi ya miezi mitatu......... Tukio hili limetoke muda mchache uliopita nnje ya ofisi ya Star times mkabala na Benk ya NMB Dodoma,




No comments