Breaking News

VIDEO: MTANGAZAJI WA KIKE WA TV NCHINI VENEZUELA ARIPOTI MECHI AKIWA UCHI BAADA YA KUICHAPA COLOMBIA COPA AMERICA

Screen-Shot-2015-06-17-at-12.08.31-PM (1)
Nini kimewakumba wanawake wa Venezuela mpaka wafikie hatua ya kutangaza uchi kwenye TV ?
Siku chache kabla ya kuanza kwa Copa America 2015, watangazaji 8 wa kike wa nchi ya Venezuela walitengeneza video wakiwa uchi wakidai kuwasapoti wachezaji wa timu ya taifa kuelekea michuano hiyo.
Venezuel wameandika rekodi ya kushangaza baada ya kuichapa 1-0 Colombia kwenye mechi ya ufunguzi ya Copa America.
Katika kushangilia matokeo hayo, mwanamke mmoja Mtangazaji wa TV, Yuvi Pallares, aliamua kuripoti matokeo ya mechi hiyo akiwa mtupu.

No comments